Sunday, December 20, 2015

JINSI YA KUHESABU MZUNGUKO WAKO WA HEDHI NA JINSI YA KUJUA SIKU YAKO YA HATARI YA KUPATA MIMBA

JINSI YA KUHESABU MZUNGUKO WAKO WA HEDHI NA JINSI YA KUJUA SIKU YAKO YA HATARI YA KUPATA MIMBASiku za hatari za mwanamke ni zipi?
Hizi ni siku ambazo mwanamke akishiriki ngono bila kutumia kinga anapata ujauzito bila wasiwasi wowote labda kama ana matatizo yanayomfanya asibebe mimba au mwanaume wake ana matatizo.

Utazijuaje siku hizo?
Kwanza kabisa ili ujue siku zako za hatari lazima ujue idadi ya siku za mzunguko wako. Kuna aina tatu za mzunguko.. mzunguko mrefu ambao unachukua siku 35, mzunguko mfupi unaochukua siku 25 na ule wa kawaida unaochukua siku 28 na ndio mzunguko ambao watu wengi wanao. 

Unajuaje mzunguko wako?
Hesabu siku tangu siku ile ya kwanza uliyoona siku zako za hedhi mpaka siku moja kabla ya kuona siku zako za hedhi zinazofuata. Unashauriwa uchukue miezi mitatu mpaka  sita ukihesabu ili ue na uhakika kwamba mzunguko wa tarehe zako haubadiliki, kama umeshahesabu siku za nyuma kabla ya kusoma makala hii ni vizuri pia. Mfano umeanza kuona siku zako tarehe moja mwezi wa nne alafu ziko zako zingine ukaziona tarehe 29 mwezi wa nne, chukua 29 toa 1 utapata 28.. maana yake wewe unamzunguko wa siku 28.

Je siku za hatari ni zipi?
siku ya hatari ni siku ya 14 kabla ya kuona hedhi inayofuata na sio siku ya 14 baada ya kuona hedhi iliyopita na hapa ndio watu wengi wanachanganya na kupata mimba. 

Mfano kama mzunguko wako ni siku wa kawaida siku  28, chukua 28 toa 14 utapata 14. Hivyo siku yako ya hatari ni siku ya 14, lakini kwa kua mbegu ya kiume inaweza kuishi mpaka siku tano na yai la kike linaweza kuishi mpaka masaa 24 ndani ya mfuko wa uzazi basi siku nne kabla na siku moja baada ya siku ya 14 ni hatari hivyo siku za hatari ni ni siku ya 10,11,12,13,14 na 15.

Kama mzunguko wako ni mrefu labda  siku 36 basi chukua 36 toa 14 utapata 22. Hivyo siku ya 22 ni hatari na zingine ni 18,19,20,21,22 na 23.

Kama mzunguko wako ni mfupi, mfano mzunguko wa siku 21, sasa ukichukua 21 ukatoa 14 unapata 7 yaani siku ya saba ni hatari kwa huyu mtu.hivyo siku zingine za hatari ni 3,4,5,6,7 na 8.


Dalili kwamba uko kwenye siku za hatari ni zipi?
Kuongezeka kwa joto kidogo, tumbo kuuma kidogo, na ute mweupe mwepesi kutoka sehemu za siri..

JINSI YA KUHESABU SIKU ZA HATARI ZA KUSHIKA MIMBA
Naomba ieleweke kwamba wanawake wametofautiana kwa asilimia kubwa sana katika mzunguko wao wa bleed hivyo kwa utangulizi tuu kuwa makini na jinsi unavyoanza bleed ili iweze kukusaidia katika kuhesabu kwako siku za hatari ..Na si kulinganisha siku ambayo labda ulianza sawa na rafiki yakoHow to calculate 16 day m -cycle{jinsi ya kuhesabu siku zako}

mfano: umeanza kubleed leo tarehe 9/7/2015 kwa hiyo chukua daftari na andika na hesabu moja. hesabu kuanzia hapo mpaka utakapo fika 16 na ujue siku ya kumi na sita itaangukia tarehe ngapi? utakuja kuona siku ya 16 inaangukia tarehe 24/7/2015 hivyo your next bleed should start 25/7/2015. hivyo hivyo utaanza kuhesabu kutoka tarehe 25/7/2015 mpaka kumi na sita na utakuja kungundua kuwa siku ya kumi na sita itakuwa ni tarehe 9/8/2015. hivyo inatakiwa uanze kubleed tarehe 10/8/2015. hivyo utakuwa unahesabu vivyo hivyo kila mwezi.

Hivyo basi wanawake wanaobleed  ndani ya siku 18  na chini ya hapo huwa wana matatizo hivyo wanatakiwa waende kumuona daktari kwani kitaalamu sio sahihi. hivyo ikitokea mke wako anableed kwa siku 18  MPELEKE hospitali akapate ushari.

Angalizo: kuna wanawake wanaokuwa na mzunguko wa siku 24 au 26
[
U]
WANAWAKE WENYE MZUNGUKO WA SIKU 28 JINSI YA KUANGALIA SIKU SALAMA NA SIKU ZA KUPATA MIMBA 

MFANO
UMEANZA KUBLEED LEO TAHERE 9/7/2009 NA UNA MZUNGUKO WA SIKU 28


9, 10,11,12,13,14,15,16,17,18,19, 20,21,22,23,24,25,26,27,28,29, 30,31/JULAI
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 1516 17 18 19 20 21 22 23

1, 2, 3, 4, 5/AUGUST
24 25 26 27 28

HIVYO THE NEXT BLEED WILL BE TAREHE 6/AUGUST 2015
NYEKUNDU INAMAANISHA SIKU ZA HATARI

HIVYO BASI SIKU SALAMA NI BAADA YA DAMU KUKATA UNAWEZA KUANZA KUMTUMIA MAMA LAKINI IKIFIKA SIKU YA KUMI NA TATU YAI HUWA LIKO YATARI NA HUANZA KUSHUKA. KIPINDI HIKI MAMA HUTOKWA NA UTE MZITO WA KUNATA AMBAO HUWA NI DAWA KWA AJILI YA KULINDA NA KUTENGENEZA MJI WA MIMBA KUWA TAYARI KUPOKEA MBEGU ZA KIUME KWA AJIRI YA URUTUBISHO .HIVYO MBEGU ZA BABA HUWEZA HUSAFIRI KWA URAHISI ZAIDI KATIKA MAJI MAJI HAYA.

WANAWAKE WENYE SIKU 30 

HEBU FIKIRI AMEANZA LEO TAREHE 9/7/2015

9,10.11.12.13,14,15,16,17,18,1 9,20,21,22,23,24,25,26,27,28,2 9,30,31/JULAI
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23

1, 2, 3, 4, 5, 6, 7 /AUGUST
24 25 26 27 28 29 30

HIVYO BLEED INAYOFUATA ITAKUWA TAREHE 8/8/2015

ANGALIA TOFAUTI KATI YA MTU ANAYEBLEED KWA SIKU 28 NA 30. HII NI KWAMBA YAI HUCHUKUA SIKU KUMI NA NNE KUHARIBIKA BAADA YA KUKOSA URUTUBISHO. HIVYO HATA MWANAMKE AWE NA MZUNGUKO WA 16,18,20,24,26,28.30.32.34 AU 40 AU ZAIDI. ITACHUKUA SIKU KUMI NA NNE ILI YAI LAKE LIWEZE KUHARIBIKA. NA SIKU YA KUMI NA TANO NDIO HUWA SIKU YA KWANZA KUANZA KUBLEED YAANI YAI LIMEKOSA URUTUBISHO.

VIVYO ANZA KUHESABU KUANZIA SIKU YA TAREHE 28 KURUDI NYUMA UTAKUTA KUWA SIKU YA KUMI NA NNE NI TAREHE 23. HIVYO SIKU YA HARATARI ITAKUWA TAREHE 22 LAKINI KWA KUWA YAI HUCHUKUA SAA 72 WAKATI LIKISUBIRI KURUTUBISHWA NDIO MAANA TUNAANZA NA SIKU YA 13 , 14, 15 TOKEA PALE ULIPOBLEED.

NA KWA MWANAMAMA ANAYECHUKUA SIKU 30 UKIHESABU KUANZIA 30 KURUDI NYUMA UTAGUNDUA KUWA SIKU YA 14 NI TAREHE 25/7

HIVYO SIKU YA HATARI NI TAREHE 24/7 NA KWA SABAU YAI HUKAA SIKU TATU HIVYO TAREHE 23,24, NA 25/7 /2009 AMBAZO NI SAWA NA SIKU YA 16, 17, NA 17 KATIKA KUHESABU MZUNGUKO

YULE WA SIKU THELATHINI NA MBILI ITAKIWA SIKU YA HATARI NI YA 18 NA SIKU ZAKE TATU ZA HATARI NI 17, 18 NA 19 AMBAZO TAREHE 25,26,27/JULY KAMA SIKU ZAKE ZA HATARI.......

No comments:

Post a Comment