Sunday, December 20, 2015

SKIN AND GENITAL WARTS (MASUNDOSUNDO)

TIBA YA UGONJWA WA KUOTA KINYAMA SEHEMU ZA SIRI NA SEHEMU MBALIMBALI ZA MWILI (GENITAL WARTS & SKIN) IMEPATIKANA WAHI MATIBABU SASA!!!


FAHAMU UGONJWA WA MASUNDOSUNDO AU KUOTA VINYAMA SEHEMU ZA SIRI (GENITAL WARTS & SKIN)

~GENITAL WARTS ni nini?!!
~ni ugonjwa wa kuota vinyama Laini vidogovidogo vinavyoota kwenye ngozi au utando Laini unaozunguka maeneo ya sehemu za siri.
~vinyama hivyo vinaweza kutokea kwenye uume, uke, mrija wa mkojo (urethra), vulva, na shingo ya kizazi au maeneo yanayozunguka haja kubwa, ugonjwa huu huenezwa kwa njia ya kujamiiana (SEXUAL TRANSMITTED INFECTION (STI)
CHANZO CHA TATIZO HILI
Ugonjwa wa Masundosundo husababishwa na virus waitwao HUMAN PAPILLOMA VIRUS (HPV) hata hivyo Kuna Aina 70 tofauti za virus wa HPV hivyo sio wote wanaosababisha tatizo hili kwani Kuna ambao wanasababisha Masundosundo katika mwili sehemu tofauti kama vile mikono, miguu, mgongoni, NK pia wapo wanaosababisha saratani ya shingo ya kizazi (CARCINOMA OF THE CERVIX),saratani ya uume na saratani ya njia ya haja kubwa (ANAL CANCER) kwa jinsia zote mbili
°ugonjwa huu wa Masundosundo umejitokeza kwa kiasi kikubwa baada ya kuwepo kwa janga la UKIMWI hivyo watu wenye wapenzi wengi, wanaofanya mapenzi kwa njia ya haja kubwa, wajawazito, watumiaji wakubwa wa sigara na pombe, watu wanaofanya mapenzi kwa njia ya mdomo Wana hatari ya kupata tatizo hili.
DALILI ZA MASUNDOSUNDO
mgonjwa wa tatizo hili hutokewa na vinyama Laini vidogovidogo vinavyojitokeza juu ya ngozi katika maeneo tofauti (MFANO HALISI TIZAMA KATIKA PICHA HIZO) ingawa wakati mwingine huwa ni vidogo kiasi cha kutoweza kuonekana kwa njia ya kawaida

  • mgonjwa kupata ganzi maeneo yaliyozungukwa na Masundosundo
  • kutokwa na uchafu sehem za siri na kuwashwa kupita maelezo
  • kutokwa damu ukeni mara baada ya kufanya tendo la ndoa MATIBABU NA JINSI YA KUEPUKA UGONJWA HUU

°matibabu ya tatizo hili hupatikana kirahisi nchini Tanzania na tiba hutolewa kwa kufuata utaratibu wa Majibu yaliyopatikana katika vipimo mbalimbali ambapo matibabu huwenda kuwa kufanyiwa operation kuondoa vinyama ingawaje tiba hii haina ufanisi mzuri kwasababu huweza kutengeneza madhara zaidi na uwezekano mkubwa wa kupata kansa hivyo tiba nzuri ni kutumia dawa ambazo zitatibu na kuondoa tatizo hilo na mgonjwa kupona kabisa ila cha kuzingatia ni kwamba ugonjwa huu ni wa kuambikiza hivyo inashauriwa wenza wote kupata matibabu hata kama atajihisi hana dalili yoyote ni vyema akafanya vipimo ili kujihadhari kabla ugonjwa haujaleta madhara zaidi na uwezekano mkubwa ~Waswahili wanasema bora kinga kuliko matibabu hivyo ni bora ukaepuka ugonjwa huu kwa kuepuka yafuatayo


  • EPUKA KUWA NA WAPENZI WENGI
  • EPUKA KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE
  • EPUKA KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA, SIGARA NA POMBE
  • ACHA ORAL SEX KAMA UTASHINDWA BASI KUA NA MPENZI MMOJA TU UTAKAYEKUA UNAMNYONYA SEHEMU ZA SIRI ZINGATIA MAPENZI NI UJUZI LAKINI AFYA YAKO NI MALI ZAIDI WADADA /WAKAKA WENGI MMEKUA MKIFANYA HIVI KWA LENGO LA KUWARIDHISHA KILA MNAOKUTANA NAO KIMWILI KITU KINACHOKUWEKA KATIKA HATARI YA KUPATA TATIZO HILI AU KANSA YA KOO

NOTED :NDUGU RAFIKI Ugonjwa huu una madhara makubwa unaweza kusababisha kansa ya kizazi, kansa ya uume, kansa ya njia ya haja kubwa NK hivyo ni vyema ukapata matibabu ya uhakika iwapo una tatizo hili na kama hauna tatizo hili ni vyema ukajiepusha na ugonjwa huu

No comments:

Post a Comment